Kutokana
na mvua zinazoendelea kunyesha wilayani Makete mkoani Njombe, barabara
nyingine zimekuwa mwiba kwa watumiaji wa barabara hizo, baada ya kamera
ya eddy blog kunasa lori aina ya fuso likiwa limenasa kwenye tope kijiji
cha Ujuni wilayani hapo
Lori
hili lililobeba viazi limenasa hapo kutokana na barabara hiyo
kuharibika kufuatia mvua zinazonyesha wilayani hapo kuharibu barabara
Habari/picha na Eddy Blog Team
0 comments:
Post a Comment