Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo kaburini wakati wa mazishi ya
msanii Sajuki leo katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam
Jeneza
lenye mwili wa marehemu Sadick Juma Kilowoko a.k.a Sajuki ukiwasili
kwenye makaburi ya Kisutu,Upanga jijini Dar kwa ajili ya mazishi.
Baadhi ya watu waliofika kwenye mazishi ya marehemu sajuki jioni ya leo Kisutu,jijini dar.
Mbunge
wa jimbo la Kigoma Kaskazini,Mh Zitto Kabwe akifafanua jambo mbele ya
baadhi ya Wanahabari kabla ya mazishi ya marehemu Sajuki,yaliyofanyika
leo Kisutu jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na maelfi ya watu.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza jambo na Meya wa Wilaya ya Ilala,Mh Jerry Silaa ,shoto ni Rais wa Shirikisho la wasanii wa Filamu nchini,Simon Mwakifwamba akisikiliza .
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na baba mzazi wa marehemu Sajuki (pichani
shoto) wakati wa mazishi ya msanii huyo leo katika makaburi ya Kisutu
jijini Dar es salaam.Pichani
kati Rais wa Shirikisho la wasanii wa Filamu nchini,Simon Mwakifwamba
na mwisho kabisa Meya ya Wilaya ya Ilala,Mh Jerry Silaa.PICHA NA IKULU
Mwandishi
mkongwe wa kampuni ya Uhuru Publications akiitafusta taswira murua
kabisa kwenye mazishi ya marehemu Sajuki,yaliyoongozwa na Rais Kikwete
mapema leo jioni kwenye makaburi ya Kisutu,Upanga jijini Dar.
Baadhi ndugu jamaa na marafiki waliofika kwenye mazsishi ya marehemu Sajuki,wakisubiri mwili wake waupokee kwa ajili ya maziko.
Rais Kikwete pia alihudhuria mazishi ya marehemu Sajuki
Jeneza liliobeba mwili wa marehemu Sajuki
Hili ndilo kaburi alilo zikiwa Maehemu Sajuki
Jeneza
lililobeba Mwili wa Marehemu Sadick Juma Kilowoko (SAJUKI) likiwasili
kwenye Makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam mchana huu tayari kwa
Mazishi yaliyoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh.
Jakaya Mrisho Kikwete.
0 comments:
Post a Comment