Baadhi ya Walemavu Walioshiriki Tamasha Hilo
Mchungaji Antony Mkane Akizungumzia Kilichomfanya Aandae Tamasha Hilo la Kula na Watu Wenye Ulemavu wa Viungo Mbalimbali Katika Kanisa lake la Forward In Faith Mjini Makambako.
Mwenyekiti wa Mtaa wa Ubena Bwana Adam Isaa Nyambulapi Mwanzilishi wa Kituo cha Walemavu Mjini Makambako Akizungumza Jambo.
Mratibu wa Special Olympic Mkoa wa Njombe Mwalimu Happy Mpete Akizungumza Wakati wa Hafla Hiyo Juu ya Shughuli ya Kuandaa Michezo Kwa Walemavu Mkoani Njombe.
Katibu wa Umoja wa Walemavu Makambako[UWUMA]Bwana Mussa Msovella Akisoma Risala Juu ya Hali waliyonayo Katika Maisha Yao.
Huyu ni Mlemavu wa Miguu Ambaye Alishiriki Hafla Hiyo Mjini Makambako
Mgeni Rasmi Navy Sanga Diwani wa Viti Maalum Kata ya Ubena Makambako Akuzungumza wakati wa Hafla Hiyo.
Baadhi ya Sadaka Zilizopatikana Kwenye Ibada Hiyo Maalumu ya Walemavu Mjini Makambako
Diwani wa Viti Maalumu Kata ya Ubena Mjini Makambako Bi.Nevy Sanga Akizungumza Wakati wa Sherehe za Kufunga Mwaka na Walemavu Mjini Makambako Akiwa Mgeni Rasmi Kwenye Hafla Hiyo.
Na Gabriel Kilamlya Makambako
Walemavu Mjini Makambako Wamesema Kitendo cha Kupitia Mitaani na Kuomba Misaada Kimekuwa Kikiwapa Wakati Mgumu Katika Maisha Yao na Hivyo Wamelazimika Kuanzisha Umoja wao Ili Kurahisisha Upatikanaji wa Misaada Toka Serikalini na Kwa Wadau Mbalimbali
Wakizungumza Wakati wa Tamasha la Kufunga Mwaka 2013 Lililofanyika Disemba 27 Mwaka Huu Katika Kanisa la Forward In Faith Mjini Makambako Wamesema Kuwa Hali Inawafanya Kukata tamaa ya Maisha Kutokana na Kudharauliwa na Jamii na Hivyo Kulazimika Kuanzisha Umoja wao Utakaowasaidia.
Aidha Wamesema Wamekuwa Wakikabiliwa na Changamotomo Mbalimbali Katika Kuendesha Maisha Yao Ikiwemo Baadhi yao Kufichwa Ndani na Ndugu zao Kama Njia ya Kutaka Kuondokana na Aibu Kitu Kinachowafanya Kujiona Kama Wanawanyanyapaa.
Akizungumza na Walemavu Hao Mgeni Rasmi wa Hafla Hiyo Iliyoandaliwa na Mchungaji Antony Mkane Ali Maarufu Kwa Jina la Kibiashara la Dubai Auto Spare Diwani wa Viti Maalumu wa Kata ya Ubena Mjini Humo Bi.Navy Sanga Alisema Kuwa Jamii Haina Budi Kutambua Kuwa Yote ni Kazi ya Mungu Hivyo Hawapaswi Kutengwa na Jamii.
Aidha Bi.Sanga Alieleza Kuwa Kumekuwa na Harakati Mbalimbali Zinazofanywa na Halmashauri ya Mji wa Makambako ya Kusaidia Kujenga Kituo cha Walemavu Mjini Humo Ambacho kwa Sasa Tayari Kimeanza Kuwahudumia Baadhi ya Walemavu Hao.
Pia Amesema Licha ya Wadau Mbalimbali na Wafanyabiashara Mjini humo Kujitolea Kujenga Kituo Hicho Lakini Serikali Imefanya Kazi ya Kuajiri Walimu Ambao Wanaendelea na Kuwafundisha Walemavu Hao Hadi Sasa.
Kwa Upande wake Mchungaji Antony Mkane[Dubai Auto Spare] Alisema Kuwa Ameamua Kuandaa Tamasha Hilo la Kula Pamoja na Walemavu Hao Wakati wa Kufunga Mwaka 2013 Kwani Kitendo Hicho Kina Mpendeza Mwenyezi Mungu Badala ya Kutumia Gharama Kubwa Katika Masuala ya Starehe Kama Harusi,Vipaimara,Ubatizo Pamoja na Mambo ya Anasa za Dunia.
Hata Hivyo Mchungaji Huyo Kwa Kushirikiana na Wachungaji wa Makanisa Mbalimbali Mjini Makambako Aliandaa Sadaka Maalumu Kwa ajili ya Walemavu Hao Ambapo Zaidi ya Shilingi Laki Saba Zilipatikana Pamoja na Nguo,Sabuni,Sukari na Vitu Mbalimbali na Kuwagawia Walemavu 41 Walioshiriki Ibada Hiyo Ya Kufunga Mwaka.
Adam Issa Nyambulapi ni Mwenyekiti wa Mtaa wa Ubena Ambaye Kwa Jitihada zake Aliguswa na Suala la Ongezeko la Walemavu Mjini Humo na Kuamua Kuanzisha Wazo la Kujenga Kituo cha Walemavu hao Ambapo Hadi Kinaendelea Kutumika Licha ya Kwamba Hakijakamilika Kwa Upande wa Kufunga Baadhi ya Madirisha.

0 comments:
Post a Comment