.Lengo ni kutaka Kuunda Kamati ya MaadiliKushoto
ni Katibu wa Chama Cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Njombe Hamis
Kasapa Katikati ni Allan Lawa Meneja Maadili Baraza la Habari
Tanzania
Bwana Gabriel Kilamlya ambaye ni Mtunza Hazina Msaidizi Kwenye Chama
cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Njombe Kushoto Akiandika na kulia ni
Aldo Sanga ambaye ni mjumbe wa kamati tendaji.
Zenobia Mtei na Michael Katona Wajumbe wa kamati hiyo.
Lilian Mkusa kutoka shirika la Daraja ni katibu msaidizi wa chama hicho.
Wanahabari
na Viongozi wa Kamati Tendaji Chama Cha Waandishi wa Habari Mkoa wa
Njombe Wakiwa Kwenye Semina ya Siku Moja Toka Baraza la Habari Tanzania
MCT Mjini Njombe
0 comments:
Post a Comment