MKUU WA WILAYA YA NJOMBE SARAH DUMBA AKIWASILI NDANI YA UKUMBI WA MAADHIMISHO KATIKA SHULE YA SEKONDARI NJOMBE
HAWA NI WALIMU WA SHULE MBALIMBALI ZILIZOINGIA KWENYE NAFASI YA KUMI
BORA KITAIFA KATIKA MTIHANI WA MWAKA 2013 KWA SHULE ZA MSINGI NA
SEKONDARI WA HALMASHAURI YA MJI WA NJOMBE
WANAFUNZI WA ST.BAKHITA WAPATIWA ZAWADI MBALIMBALI YA FEDHA NA
KUPONGEZWA KWA BURUDANI SAFI BAADA YA KUBURUDISHA KWA NGOMA YA ASILI YA
MGANDA
WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI LUHUJI MJINI NJOMBE
WALIMU WANAKABIDHIWA VYETI VYA KUFANYA VIZURI KWA SHULE ZAO
0 comments:
Post a Comment