SHANGWE NA NDEREMO ZIKIFANYIKA KUMPOKEA NAIBU WAZIRI WA MAENDELEO YA
JAMII,WANAWAKE,JINSIA NA WATOTO AKIWASILI KITONGOJI CHA NGALAWALE
MJINI LUDEWA
HAPA NAE MHESHIMIWA YUPO KUBURUDIKA NA WANANCHI HAO KABLA YA KUINGIA KWENYE UKUMBI WA MKUTANO
NAIBU WAZIRI WA MAENDELEO YA JAMII,WANAWAKE,JINSIA NA WATOTO AKIWA
PAMOJA NA WATAALAM MBALIMBALI TOKA HALMASHAURI YA WILAYA YA LUDEWA
KATIKA KITONGOJI HICHO.
NAIBU WAZIRI WA MAENDELEO DKT CHANA AKITOA HOTUBA KWA WANAKIKUNDI NA BAADHI YA WANANCHI WALIOHUDHURIA MKUTANO HUO LEO
0 comments:
Post a Comment