tg

Monday, February 3, 2014

SERIKALI MJINI NJOMBE IMEKIFUNGIA KILABU CHA POMBE ZA KIENYEJI CHA TUPENDANE MJINI NJOMBE BAADA YA VYOO KUCHAKAA NA KUJAA.



 HIKI NI CHOO CHA WAFANYABIASHARA WA KILABU CHA POMBE ZA KIENYEJI CHA NJOMBE MJINI AMBACHO KINAJAA KILA SIKU NA AKINA MAMA HUCHOTA KWA NDOO ZA RITA KUMI NA KUMWAGA KWENYE SHIMO KUBWA LA HAPO WANAPOTOKEA AKINA MAMA HAO.

 HIKI NI CHOO KIPYA KINACHOJENGWA LAKINI KWA SASA KIMESIMAMA KUTOKANA NA SABABU AMBAZO HAZIKUFAHAMIKA.



 HILI NI DAMBO AMBALO LIPO USONI MWA KILABU CHA WAFANYABIASHARA HAO


 HAYA NI MAENEO YA KILABU CHA POMBE ZA KYENYEJI CHA NJOMBE MJINI KINACHOMILIKIWA NA SERIKALI.

0 comments:

Post a Comment