Hapa ni Pembezoni mwa Daraja la Halali Huko Ilembula Lililosombwa na Maji Licha ya Kujengwa kwa Mawe Makubwa
Hivi Ndivyo Ilivyokuwa Kwenye Daraja la Halali Ilembula na Hapa Tayari Maji Yameshapungua.
Naibu
Waziri wa Ujenzi Mhandisi Gerson Lwenge Akizungumza na Kiongozi wa
Tanesco Aliyekutwa eneo la Tukio wakibadilisha Nguzo za Umeme Huko
Dulamu Wilayani Wanging'ombe.
0 comments:
Post a Comment