Jitihada za kuwaokoa watu zikiendelea, huku nondo nyembamba zikionekana na kuacha maswali miongoni mwa mashuhuda wa tukio hilo.
Jitihada za kuwaokoa watu zikiendelea.
Jitihada za kuwaokoa watu zikiendelea.
Taarifa zilizotufikia muda huu
zinadai kuwa idadi ya majeruhi wa ghorofa lililoporomoka jijini Dar
es Salaam imefikia 18 wakati watu wanne wanadaiwa kupoteza maisha
na jitihada za uokoaji bado zinaendelea
Comments
Post a Comment