BREAKING NEWSSS: BOTI YAZAMA ZIWA TANGANYIKA Posted by p at 9:58 AM Kuna taarifa ya kuzama katika ziwa Tanganyika maiti nane zimeopolewa. Jina na wapi ilikuwa yatoka na kwenda haijafahamika. Ajali imetokea kijiji cha herembe wilaya ya uvinza. Chanzo ni mawimbi makubwa
0 comments:
Post a Comment