tg

Sunday, December 23, 2012

WATOTO WALIOZALIWA WAKIWA WAMEUNGANA HOSPITALI YA KIBENA NJOMBE



 Watoto mapacha waliozaliwa wakiwa wameungana disemba 22 mwaka huu katika Hospitali ya Kibena Njombe na kisha kufariki.
Watoto hao walizaliwa wakiwa na Jinsi ya kike huku wakitajwa kuwa wao ni mapacha wa pili kuzaliwa kwa mama huyo aliyezaa mara nane.


Muuguzi wa zamu katika Hospitali ya Kibena Njombe Bi.Evadia Haule akitolea ufafanuzi juu ya kuzaliwa kwa watoto hao na kisha kufariki dunia.
Muuguzi wa Zamu Bi.Evadia Haule akimuuguza mama mzazi wa Watoto hao mapacha walioungana.Bi.Jane Mbena mkazi wa Mhaji Njombe 
Wataalamu wa Afya katika Hospitali ya Kibena wakishuhudia watoto hao ambao tayari wamesha fariki.

0 comments:

Post a Comment