Na Mroki Mroki, Arusha
MAPOKEZI
ya Kihistoria katika jiji la Arusha yamefanyika leo wakati wafuasi,
Mbunge wa Arusha Mjini kwa Tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Godbless Lema walipo miminika kwa Wingi kuanzia Uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) hadi katika Viwanja vya
Kilombero mjini hapa alipohutumia maelfu ya wana CHADEMA Arusha Mjini.
Mapokezi hayo yamefanyika wakati Godbless Lema alipokuwa akirejea mjini Arusha
akitokea jijini Dar es Salaam kusikiliza hukumu ya Rufani ya Keshi yake
ya Kuvuliwa Ubunge iliyotolewa maamuzi ya kumrtejeshea Ubunge wake
Desemba 21,2012
Maelfu
ya wananchi wakiwa katika msafara mrefu zaidi ya pikipiki 500 na magari
ulianzia Uwanja wa Ndege KIA mara baada ya Mbunge huyo kuwasili
uwanjanai hapo majira ya saa 4:20 Asubuhi.
Mbwembwe za waendesha pikipiki wengine ziliwashinda na kuanza kuanguaka.
Furaha hiyo ilikuwa kwa kilu aliye Mwanachadema
Skafu na vitru mbalimbali vilivyo na alama ya CHadema viliuzwa jijini Arusha kwa wingi.
Mke wa Mbunge Godbless Lema akiwa kwenye gari pamoja na mtoto wao wakati wa mapokezi hayo.
Lema Arusha anafananishwa na Barack Obama
Watu walining'inia katika magari bila hofu
Huyu na e'eti' alikua anachukua kumbukumbu za Video....
Lemna akiwa na Mbunge wa Arumeru Mashuari CHADEMA, Joshua Nasari.
0 comments:
Post a Comment