Msanii
Talinyo na wenzake wa kikundi cha Full Matatizo cha Bulioni Mjini
Unguja wakitoa burudani katika Mkutano wa CUF ulifanyika kibanda maiti,
nje kidogo ya Mji wa Zanzibar. Msanii
Talinyo na wenzake wa kikundi cha Full Matatizo cha Bulioni Mjini
Unguja wakitoa burudani katika Mkutano wa CUF ulifanyika kibanda maiti,
nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
Baadhi
ya maelfu ya wananchi waliohudhuria Mkutano wahadhara, wakisikiliza
hutba ya Katibu Mkuu wa CUF Taifa ambae pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais
Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamadi hayupo pichani alipokuwa akiwahutubia
katika viwanja vya kibanda maiti nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
Katibu
Mkuu wa CUF Taifa ambae pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar Maalim
Seif Sharif Hamadi, akihutubia maelfu ya wananchi waliofika kiwanjani
hapo leo jun 06 2013

Waandishi
wa habari wa vyombo tofauti Nchini wakihakisha wanapata matokeo
mbalimbali yaliojiri katika Mkuto wa CUF ulifanyika kibanda maiti.
(Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.)
0 comments:
Post a Comment